DC KIBITI AZINDUA KITUO CHA AFYA MJAWA..
Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Meja Edward Gowele amezindua kituo cha Afya Mjawa katika Kata ya Mjawa chenye thamani ya mil. 550 Kwa fedha za Tozo za Miamala ya simu na Mapato ya ndani.
Wizara ya Afya kwa kushirikiana na AMREF chini ya Mpango wa kudhibiti kifua kikuu na ukoma wameandaa Gari maalumu (VAN) lenye vifaa vya kupima Kifua kikuu, Gari hili litakuwepo Wilayani Kibiti , yaani tarehe 29/08/2022 kibiti na 30/08/2022 Bungu