@YerickoNyerereT We jamaa wamekupa nn mpk unakuwa na roho mbaya kiasi hiki yani mtu umefanyanae kazi miaka kibao lakn unatamani afe leo ili tu ule upande wako uonekane umeshinda 😭😭😭😭
Wanangu hv huyo jamaa wa correct score ni mchawi' au ? Just imagine jana kweny hili group walituma correct score game 3 ods 500 na zimetoa na sikuweka 🥲nimeumia sana leo ilikuw naenda kwa boss emma nichukue kiwanja baada ya hapo naenda kwa bingwa wa magari🥲