@TweveDevota Miyeyusho sana hao watu... wanadhani wao ndo wana moral authority ya kufanya harakati na chochote anachofanya mwingine ni usaliti.. WAPUUZI sana
@Sativa255 Hivi mnapata wap huo muda... me redio naisikia nikipanda daladala kama bongo movie naonaga nikipanda mabasi ( na nikijua basi hilo wanaweka bongo movie nalitema) me sinaga time na huo ungese....