@TitoMagoti Akina Tido huwa wanamfanyia Rehearsal kabla ya kuongea. Akimaliza Rehearsal unaambiwa anaenda kupiga Captain Morgan anasahau Rehearsal aliyofanyiwa. Samia is a DISGRACE TO TANZANIA.
@HecheJohn Serikali ya Kipumbavu na Mitandao nayo ya Kipumbavu. Wakija kushtakiwa watasema walipewa maelekezo ya kuzuia namba ispokee hela. Kuna Ujinga mwingi sana kwa Serikali ya Kizimkazi.
Mheshimiwa @HecheJohn watanzania wanaomba account namba yako waweke mzigo DM zimekuwa nyingi wanataka account Yako kaka iweke
Wanataka kwanza kukupoza kwa msiba wa dereva Pili kukupa pongezi ya kuwakaba mafisadi wa CCM
๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Viongozi wa Kamati Kuu wako pamoja na hawatayumbishwa na kelele za mbweha na viroboto wa Mamumiani wanaotaka kuona tumegawanyika vipande vipande.Fedha zinazochangwa zinapokelewa na kutumiwa ipasavyo. Hiki ni chama kinachopinga ufisadi na hakitakubali sifa yake njema ichafuke.
@MariaSTsehai@mhabukat Hakuna watu WAPUUZI kama JWTZ na @tanpol. Yani @suluhusamia na kitoto chake wanalipa makundi ya kina Mwaipopo huku jeshi linakufa NJAA. Halafu wanaanza kusumbua ndugu kuomba hela za msaada.
Afande Sele ametoka ufafanuzi mzuri nini kinasababisha maandamano.Hali ya sasa wananchi wana maarifa kuliko watawala fitina na ghiriba kudanganya wananchi kwamba mambo yako sawa, Wananchi wameshitukia Kitambo sana, Wanajua tumefika hapa kwa sababu ya CCM imepora nchi wanaitumia watakavyo