*AIRBUS YAFIKA DODOMA*
.
*Abiria wakishuka kwa mara ya kwanza kwenye Ndege aina ya Airbus A220-300 Air Tanzania yenye uwezo wa kubeba abiria 132,baada ya kutua Uwanja wa ndege wa Dodoma kwa mara ya kwanza huku baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wakishuhudia abiria wakishuka
“Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM kesho tarehe 28/10/2020. Asante na Mungu akubariki.”- @MagufuliJP#T2020JPM
@JefJerry2@kigogo2014@AlleinSethi Wewe huna akili kamwe badala utetee chama chako,unaanza kutukana.Sasa unakitangaza au unakididimiza?.Acha upumbavu chama chako kinahitaji kukuzwa kwa sifa na sio kutukana.Kua kiakili acha kuropokwa kama hujazaliwa vilee.