Kitu nilicho baini kwenye hii ngoma wengi hawajaelewa kwenye hii misitari michache ya mwisho iliyogeuzwa maneno๐๐ป๐๐ป๐
ROMA:"Nasikia Koyu Keza Mbochi" {Nasikia Yuko Zake Chimbo}
STAMINA: "Mano Likwelikwe" {Noma Kwelikweli}
YAANI HAPO IMEPIGWA BONGE LA SARAKASI
@SavannaFiberTz Nimefanya fanya malipo toka juzi mpka sasa sijapata huduma na mliniakilishia ndani ya 24 na nikiwapigia simu hampokei plz naomba kurudishiwa pesa yangu