Viongozi mkipunguza tamaa ya kujilimbikizia mali na kuamini mtakufa mtaziacha naamini hakuna mwananchi atapata tabu katika haya maisha
Je? Ushawai kujiuliza nini maana ya kiongozi muadirifu.
Baada ya kufika katika mikoa 16 tukikutana na kuzungumza na wananchi na kuwaomba ridhaa ya kuendelea kuwatumikia, leo tumefanya kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mkoa wa Pwani.
Mkoa huu ni mfano halisi wa mkakati wetu wa kufanikisha mapinduzi ya uchumi uliojengwa katika msingi wa kuongeza thamani rasilimali na bidhaa tunazozalisha nchini. Ili kuongeza tija zaidi kwenye viwanda hivi na kuvutia uwekezaji zaidi, tumejipanga kujenga miundombinu ya kimkakati ikiwemo Bandari ya Bagamoyo, reli ya kisasa (SGR) pamoja na barabara mkoani hapa, uwekezaji utakaozalisha ajira kwa wananchi na kuongeza uwezo wetu wa kujitegemea.
@HecheJohn@TanzaniaOneJezi Endapo siku mkachukua madaraka watajotokeza watu na kusema wanapigania uhuru kama nyinyi maisha ni upinzani ila kwa demokrasi ni wizi