Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani.
Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company
๐๐๐
Wakubwa Kaniambia niende washua wameondo, ila tatizo Nimefunga ๐ ๐ kwaresma hii Wakuu nafanyaje? Ushauri kidogo tu ๐
@officialkyariga@ValleBaptista