5 principles from Sun Tzu worth remembering:
1. Know yourself.
2. Understand your opponent.
3. Control the conditions.
4. Avoid unnecessary conflict.
5. Adapt when circumstances change.
ROZARI TAKATIFU - MATENDO YA UCHUNGU (Jumanne na Ijumaa)
1. Yesu anatoka jasho la damu kwa ajili yetu.Tumwombe Mungu atujalie sikitiko la dhambi.
2. Yesu anapigwa kwa mijeledi kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kuacha dhambi za uchafu.
3. Yesu anatiwa miiba kichwani kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kushinda kiburi.
4. Yesu anachukua Msalaba kwa ajili yetu. Tumwombe Mungu atujalie kuvumilia taabu.
5. Yesu anakufa Msalabani. Tumwombe Mungu atujalie kuwapenda Yesu na Maria.
ROBERT GREENE
Mwandishi mashughuli wa vitabu vyenye maarifa ya kuwapa watu mamlaka katika jamii zao
Moja ya vitabu vyenye maarifa ynayompa mtu nguvu zaidi dunian ni
-THE 48 LAWS OF POWER
-THE ART OF SEDUCTION
-THE LAWS OF HUMAN NATURE na
-MASTERY
Watu wengi wamedai nianze kuvichambua vitabu hivi kwa ufupi na kwa lugha inayoeleweka(Kiswahili)
Leo nitaanza na 48 LAWS OF POWER
π
Kuna mtu mmoja kanipa tafakuri moja anasema βUkiona unampigia mtu simu hapokei halafu baadae hakurudishii simu hadi umpigie wewe tena na pengine asipokee mara mbili mara tatu, bado thamani yako ni ndogo sana, unatakiwa kupambana kujiongezea thamani manake heshima huja palipo na thamani.β Mpaka sasa naitafakari sana sijajua ina ukweli kiasi gani?
1. Endelea kuamini katika wewe.
2. Endelea kuamini kwenye ndoto yako.
3. Endelea kuamini kwenye maono yako.
Na endelea kuichora picha ya yule mtu unayetaka kuwa mpaka siku moja, maisha yako yawe taswira ya kile ulichokiona kwanza kwenye akili yako.
#TheMeshaMindset