Biblia Kutoka 15:23
"Walipofika mahali palipoitwa Mara hawakupata kuyanywa yale maji ya Mara, kwa kuwa yalikuwa machungu; kwa ajili ya hayo jina lake likaitwa Mara". Good Morning watu wa Mkoa wa MARA
Darasani unaweza kupewa Nafasi kwaSababu ya Matokeo yako,lakini katika Maisha utahitaji kuonyesha Uwezo wako na namna unavyokabiliana na Changamoto
Dunia haitakupa upendeleo kwaSababu tu ulikuwa Mwanafunzi mzuri Darasani
Maisha Ya Mtaani Hayaitambui Nafasi Yako Darasani! JIKAZE
Je upo kwenye ujenzi wa nyumba, ofisi au mradi na umefikia hatua ya kumuhitaji fundi umeme?
Usiwaze sana kuhusu hilo, njoo upate huduma nzuri ya ushauri na ufundi ulionyooka kutoka kwetu ili kuepuka hasara na maumivu ya badae, tunakufikia ulipo.
📞 0714361234
#MkonoWaJay⚡