๐ How is the tech environment in Africa right now?
The world is watching, but hereโs whatโs really happening on the ground a short thread ๐งต๐
AI ina akili sana na inaweza kufanya mambo mengi.
Sasa shida bado ipo kwa watu kuwa na akili na uwezo wa kuitumia AI kufanya vitu vya msingi.
Hii inafanya matumizi makubwa ya Teknolojia kama hii inatumika kutengeneza memes.
Kumuelimisha binadam bado ni biashara nzuri tu