@bonifacejoseph_ Unakuta mtu kwao sio wafugaji, hana background ya mifugo lakin anakutana na story mtandaoni kuhusu mbuzi sijui ng'ombe anaingia kichwa kichwa. Utalipia gharama ya funzo
@chapo255 Tatizo kubwa la vijana wa mjini ni kushindwa kutofautisha kati ya Pets na Livestock. Ni kweli Pets wanavutia machoni lakini hawako meant kuliwa. Ni wa mapambo tu. Ukiwatumia kwa chakula ni kosa lako sio kosa la Pet husika.
Umaskini unatulazimisha kuishi na maskini, kusoma na maskini, kufanya kazi na maskini, kusali nao na hata kuanzisha nao familia. Matokeo yake circle yako yote inakuwa ya maskini tupu.
Ukipata nafasi ya kujitoa kwenye hii circle, tayari umeshatatua nusu ya matatizo yako.