@lifeofmshaba Jana Esta bulaya kachinja ng'ombe 700 eti wananchi wale nyama, kumbe ni makafara hayo wakidhani uchawi unavuka bahari. Wanajipotezea muda.
@MariaSTsehai Kuna mtu kaniambia pale bongo dar, barabara wanachonga viraka ili wapige hela ya kuziba viraka. Viraka vyenyewe layer ya lami ndogoooo sana yani.
@mapinduzinisasa@MariaSTsehai Kama unajua hutaishi milele nenda kafungue kesi, ila msije hapa kutuomba tuseme Free nani Free cjui nani. Ukipigana vita lazima ujue adui yako ana nguvu ipi na udhaifu upi, pale kwenye udhaifu ndo unapapiga, sio sifa kwenda kichwa kichwa na majanga kukukuta.