Kigoma Elimu Foundation (KIEF) is a community-driven, nonprofit & NGO focusin on empowering youth, promoting education, health, and climate action in Tanzania.
"As we wrap up 2025, KIEF is officially taking a short break for the holidays. Our office closes on 19th Dec and reopens on 5th Jan 2026. Thank you to all our partners and friends for the incredible support this year! Wishing you a joyful holiday and a prosperous New Year! 🎉"
🎓 The Power of Recognition🌟
In a small school in Kigoma, Husna a shy, hardworking student had never stood out in class. But during KIEF’s Incentives award day, her name was called as the most improved student. She walked to the front, stunned, as her classmates clapped.
#KIEF
Uongozi wa KIEF unasikitika kuutangazia umma juu ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Shirika Mwl. Astahili Akilimali kilichotokea Tarehe 21/9/2025 mchana jijini Dar es salaam.
Aidha, mazishi ni leo tarehe 22/09/2025 saa 10:00 jioni katika makaburi ya KISUTU Dar es salaam.
Good step start with https://t.co/vwxVg97zS8 have, where you are. You don’t need strong support to start your movement. Use what you have. Your time, your phone, your friends, and start a conversation. Action doesn’t wait for perfect conditions. It begins with willing hearts.
#HappyWorldEnvironment Day
Let's protect our environment by investing in rural communities particularly youth and women who will be in touch with the protection of our future climate resilience
"Hedhi salama kwa mabinti ni jukumu la kila mtu. Sote tuchukue hatua kuhakikisha kila mtoto wa kike anapata elimu sahihi, vifaa vya hedhi salama, na mazingira yenye heshima na usalama. Vunja unyamavu, ondoa unyanyapaa, na ipe hedhi nafasi inayostahili katika ajenda za afya."
Mazingira bora ni ya manufaa kwa kila mmoja wetu. Kulinda na kutunza mazingira, huhakikisha afya bora, urithi wa asili na ustawi wa jamii.
Mazingira, misitu na historia ya nchi ndio kipaumbele chetu katika maendeleo ya nchi. Tushikamane zaidi kuongeza ustawi wa nchi.
@nemasanja
Elimu ya mazingira ni fursa ya kuongeza ujuzi wa kulinda/kuhifadhi rasilimali za asili. 45% ya vijana duniani wana ujuzi mdogo kuhusu mabadiliko ya tabia nchi na athari zake.
Elimu inasaidia vijana kujua umuhimu wa kuhifadhi na kupambana na changamoto za mabadiliko ya tabia nchi
KIEF inawatakia heri na mafanikio mema wanafunzi wote wa kidato cha sita nchini katika mitihani yao ya mwisho inayoanza leo.
Ni muda wa kuonyesha jitihada, uelewa mliojenga kwa miaka yote, na ndoto zenu kubwa kwa maisha ya baada ya shule. Tunaamini kila jasho lenu lina thamani!
"Each additional year of schooling for girls reduces the risk of child marriage by 6% (UNICEF, 2023)".
Girls’ education breaks the cycle of poverty, strengthens economies, and builds healthier families. Investing in a girl's education is investing in a nation's prosperity.
Elimu ni nguzo muhimu katika kupunguza ukatili. Elimu inawajengea watu uwezo wa kusimamia na kutetea haki zao
Zaidi ya 55% ya wanawake duniani kote wamepata aina fulani ya ukatili wa kijinsia katika maisha yao kutokana na kukosekana kwa elimu kuhusu haki zao. (WHO, 2022).