@AokoOtieno_ Hahaha una weza fikiria sifuna ndio ale genga ODM nyongo na wengine walipata sifuna bythway 2027 sifuna ana kuja na chama gani because Akuta kua na ODM mbili
@KijanayaKabras Onetum mume skiza ground kweli ama ni story mna patia watu because crowd Ina wa fwata is growing wick bythway because akuna kitu mnaambia wakenya
@RoseAkomo2024@DictatorWatch Luo luo kila Sasa fanyeni kazi ingine hii ukabila imepitwa na wakati ..nyinyi mki support president yeyote ni mzuri sana kwenyu .sii ruto mlileta Sasa ni wakati ...wa kumilia ujinga mlipanda
@edwinsifuna Hahaha it's only this year next year mambo ni mengine.watu wata sahau baba and this is normal in life of the living.....bro sifuna unge toka ODM as SG unge pigania ukiwa ndani .......na unge shinda
Embakasi North student are complaining about locker's and yet the sitting MP he is busy campaigning for gubernatorial seats yet he's not performing to his constituency is this guy worthy to be a governor of Nairobi surely.watoto Wana kalia NDOO na mitungi ya majii