@SundiataS@KeMusiq753@omwambaKE Hawa majamaa wako na connection hadi kwa polisi, I was told wanakula na polisi soo ata ukienda hawatashikwa cz wanajuana
@SundiataS@KeMusiq753@omwambaKE Alafu nikakataa wakaniambia unaona ata tunataka kufunga, sisi tutatoa TV yako hapa nje ujipange ikiibiwa shauri yako tushakupea receipt. Manze wanakupush nje na wanaanza kufunga shop. No name of shop or business permit displayed, i almost cried that day. Kila mtu anakuangalia tuu
@SundiataS@KeMusiq753@omwambaKE Not about tape measure,you pay for 55inch then they start refusing with it na wanaingiza huko nyuma, unawachwa ukilia na pesa imeenda na wanakushow mwenye ulikuwa unadeal na yy amegonjeka amekimbizwa hosi emergency and he is nowhere to be seen.Wanakushow labda wakupee TV ingine .
@KeMusiq753@omwambaKE That same shop is notorious for conning people..nimeona hyo video nikakumbuka vile walinicon hapo TV..
I went for 55" nikarudi na 50"