Tunahakikisha tunaendelea kuleta maendeleo na mapinduzi katika sekta ya kilimo cha spices na herbs...karibu sasa uwe sehemu ya mapinduzi hayo kwa kununua spices na herbs kutoka #kijanafactory💚 ...dm us now
We’re thrilled to announce our partnership with Kijana Factory @KijanaFactory with its division Her Shamba for an exciting practical Farm Tour program at Bunju, Dar es Salaam, this Saturday.
Pata ufahamu wa jinsi washiriki walivyojifunza kufanya kilimo hai kwa vitendo na mambo mengine mengi.
Je, unafikiri kilimo hai kinaweza kuwa suluhisho la changamoto gani zinazozikumba jamii yetu kwa sasa au baadae? Tuambie maoni yako
Cc @KijanaFactory@DewjiFoundation
Katika mradi huu tulishirikiana kwa pamoja na kijana factory, Rijk Zwaan, Holland green tech, Her shamba ,pamoja na mfadhili wa mradi huu kutoka kwa taasisi ya @DewjiFoundation kujua zaidi kuhusu taasisi yetu, karibu upitie tovuti yetu rasmi https://t.co/9loq63iqM4.
Hivi karibuni tulifanikiwa kushirikiana kuandaa shamba darasa lijulikanalo kama Her Shamba Farm Tour kwa kushirikiana na @KijanaFactory pamoja na wadau mbalimbali katika kutoa mafunzo ya kilimo kwa vitendo kwa vijana wenye shauku na nia ya kuanza kilimo hai yaani organic farming.
Hivi karibuni tulifanikiwa kushirikiana kuandaa shamba darasa lijulikanalo kama Her Shamba Farm Tour kwa kushirikiana na @KijanaFactory pamoja na wadau mbalimbali katika kutoa mafunzo ya kilimo kwa vitendo kwa vijana wenye shauku na nia ya kuanza kilimo hai yaani organic farming.
🌳🏡🌲🏘️🌳🏠🌲🏡🌳
More than 50% of the 🌍's population lives in urban areas.
Trees and urban forests can make our cities cooler, greener, healthier and happier places to live.
#GreenCities
🌱Inaweza kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula: Coriander inasaidia katika mmeng'enyo wa chakula na kuboresha utendaji wa mfumo wa utumbo.
🌱Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo: Baadhi ya watu wanatumia coriander kama tiba ya asili ya kupunguza msongo wa mawazo
Karibu sana
Habari herbs lovers💚
Kama unahitaji miche ya coriander.….Karibu sana📥
https://t.co/4MteHOYmL3
📍Ni muhimu kujumlisha coriander katika lishe yako ili kufaidika na faida hizi za kiafya.
📌Coriander faida zake
🌱Inaweza kusaidia kudhibiti sukari ya damu: Inasemekana kwamba matumizi ya coriander inaweza kusaidia kudhibiti viwango vya sukari ya damu.
🌱Ni chanzo cha vitamini na madini: Coriander ina vitamini C na K, pamoja na madini kama vile chuma na magnesiamu
Leo @kijanafactory tunasherehekea siku ya vijana duniani na kusherehekea theme inayosema “Vijana na Ujuzi Rafiki wa Mazingira kwa Maendeleo Endelevu” tunaendelea kuipa kilimo muonekano mpya kwa vijana na kushawishi vijana wengi zaidi kuingia katika kilimo endelevu #YouthDay2023
Sisi, kama @KijanaFactory na wakulima wetu, tunakushukuru kwa kututembelea, na tunatumai huu utakuwa msaada endelevu ili kuhakikisha usalama wa chakula na mapato endelevu kwa wakulima wanawake wa ndani katika jamii zetu. #womenfarmers#Tanzania🇹🇿 #kijanafactory#kilimoendelevu💚
mwanzo ili kumsaidia kupata ujuzi wa kuzalisha zaidi, na akashiriki uzoefu wake nasi, changamoto anazokabiliana nazo, na masuluhisho ambayo wakulima wengi wa ndani wanawake wanahitaji.
Mazungumzo yalikuwa mazuri sana, na tunawashukuru, @WorldBank , @PlanTanzania , na @PlanGlobal kwa ziara yao na jukwaa la kuhakikisha sauti za wakulima wa wanawake zinasikika, na tunatumai sera zitakazotolewa zitawapendelea zaidi wakulima wanawake wa ndani. .
kama vile kuwajengea uwezo wanawake katika kilimo cha mbogamboga kilichopo jijini Dar es Salaam na kuongeza thamani. kwa wakulima wa viungo na mimea katika maeneo ya pwani kama Bagamoyo.
Tulimtembelea mmoja wa wakulima wetu, ambaye tulianza kufanya kazi naye tangu
Ilikuwa wakati mzuri sana kuwa na mgeni kutoka @WorldBank@WBG_Gender Mkurugenzi wa Global Gender Group - Hanna Brixi, kukutana na mmoja wa wakulima wetu wa hapa Dar es Salaam.
Tulikuwa na mazungumzo ya kustaajabisha kuhusu wanawake katika kilimo na changamoto wanazokabiliana nazo na jinsi @kijanafactory inavyoshiriki na kutatua baadhi ya changamoto hizo,