**Article 18** #BillOfRights
The Tanzanian Constitution guarantees freedom of speech with "Freedom of Expression."
Every person has the right to freedom of opinion & expression, including freedom to SEEK, RECEIVE, and IMPART INFORMATION and ideas through ANY MEDIA regardless of frontiers.
A very intelligent woman, Eng., MBA, PhD, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki! The whole world was ahead of her, she simply was going to conquer the world with all the tools she had armed herself with.
Hon. Dr. Shogo Richard Mlozi, wife to Prof. Sedoyeka, alikuwa Msaidizi wangu pale Wizara ya Maliasili na Utalii, akiwa Mkuu wa Chuo Cha Utalii. Actually, nilimteua mimi kutokana na CV yake, sikuwa hata namfahamu! Siku moja tu Maj. Gen. G. Millanzi, Katibu Mkuu wetu, alikuja na CV, akaniambia Mhe. tumteue huyu atusaidie pale NCT, nikatazama CV yake imeshiba, nikasema โwhy not?โ, nikakubali.
Leo ameitwa kwa bwana, kutokana na uzazi! Ni msiba unaoumiza sana. Unajua uzazi inapaswa kuwa tukio la furaha kwenye familia, siyo la majonzi.
Pamoja na ndoto zangu za kuwa Mbunge siku moja, kilichofanya niingie Ubunge mapema ilikuwa mradi wa mama na mtoto, uliokuwa ukitekelezwa na taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) mkoani Tabora, na mimi nikiwa Mtaalamu Mshauri (consultant) wao.
Kiwango cha maternal death kilikuwa juu sana mkoani kwetu kiasi kwamba niliona kama viongozi waliopo hawako serious hivi. Nikasema acha niingie kupambana kusaidia kuokoa maisha ya wamama wa kwetu.
Leo hii tunapolia msiba wa dada yetu, mwenye access ya huduma bora kabisa hapa nchini, pamoja na mafanikio makubwa kwenye sekta ya afya, bado naona kuna kazi kubwa zaidi ya kufanya kuwaokoa wazazi wa kule Ibelafinga, Mwandugwidako, Wanuwasoga, Wampembe na kwingineko.
Kwangu haki za wanawake ziko moyoni sana, na ndiyo maana ukigusa eneo hili utasikia nishasimama kuongea. Hata uwe rafiki yangu wa karibu namna gani, hili ni eneo ukivurunda tu, tutatofautiana.
Nakumbuka siku moja kwenye kikao cha Menejimenti pale Wizarani, alisema โMhe. Waziri , nilipokuwa post-doc kule Finland, Professor wangu alileta thesis yako for review akitaka niisome, nilifurahi kukuta ni ya mwanasiasa wa nchini kwetu ambaye namjua.โ
Siku moja alinifuata kuniomba ushauri kuwa anataka kugombea Ubunge na anataka nimfanyie โmentorshipโ. Kwanza, nikamuambia โKwa umri wako na usomi huu, anzia EALA kwanza, then utakuja hukuโ. Alinisikia na nikampa ABCs za kugombea na hatimaye kushiriki kampeni zake mpaka aliposhinda.
Leo she is no more jamani. Ni kama story ya jana tu! Kweli maisha yetu hapa duniani ni fumbo zito.
I am deeply saddened by her demise! My condolences to mama Queen Mlozi, mumewe Prof. Sedoyeka, kaka yake Nsolo Mlozi, Wabunge Wenzake wa EALA, Wabunge wote wa Tanzania na ndugu na jamaa wote walioguswa na msiba huu.
Pumzika kwa amani mdogo wangu Shogo. Kwa hakika kila nafsi itaonja mauti.
#HK #Fighter #NjeYaBox #SiasaNiVitendo
@sumaMaumba Farmers choose are doing a good job BUT eat Tanzanian, please ๐๐ฟ.
Peramiho - WรผRST from @kijanishops
Beef Bacon from The Butcher Shop
Miaka minne ya kuendelea kuwahudumia.
Tunawashukuru Wateja wetu kwa kuendelea kutuamini. Ukuaji wetu endelevu kwa miaka minne ni alama ya ubora wa huduma na bidhaa zetu.
Karibuni #TheMart, Chaguo Lako.
Tupo Kigamboni, Kibada, Darajani Road.
Tunawashukuru Wateja wetu kwa kuendelea kutuamini. Ukuaji wetu endelevu kwa miaka minne ni alama ya ubora wa huduma na bidhaa zetu.
Karibuni #TheMart, Chaguo Lako.
Tupo Kigamboni, Kibada, Darajani Road.