Wiki hii tupo na Bodi ya Sauti ya Vijana (YSB) wa 🇪🇺Umoja wa Ulaya 🇹🇿Tanzania!
Wapo katika ofisi zetu kutupa mrejesho kuhusu ushiriki wao NA eu.
Kama kundi la vijana, YSB ina jukumu muhimu kuhakikisha kwamba vipaumbele vya EU vinakuwa vyenye tija kwa vijana.
@zittokabwe@Ahmeto81 Sahihi na ndivyo ilivyokua kwa Rwanda before the colonial divide. Walikua na koo tu na sio makabila. Wakoloni walitumia kigezo cha uchumi kuwagawa watu kwa makabila ya wahutu na watutsi.
@zittokabwe Kabla ya mgawanyo wa Wahutu, Watusi na Watwa, Rwanda ilikuwa na koo zaidi ya 20. Wakoloni walitumia vigezo vya uchumi kugawa koo hizi, ambapo familia zenye ng'ombe 10 au zaidi zilifanywa Watusi na zenye chini ya 10 zikawa Wahutu. Mgawanyo huu haukuwa wa kikabila bali wa kiuchumi
@Labella_Mafia95 Wewe ndio humjui Pretty Boy Flacko, mimi nimemjua ASAP Rocky niko form one na tayari alikua ana collab na hayo majina makubwa unaoyosema kama Drake, Kendrick Lamar, 2 Chains, Skrillex na Rihanna mwenyewe. Plus alikua anakimbiza charts vibaya.
Mbegu za maendeleo zimepandwa kwenye matairi: Umuhimu wa sekta ya usafirishaji kwenye mapinduzi ya kilimo
¦
Seeds of progress planted on wheels: Unveiling the vital role of transportation in revolutionizing agriculture. 🚜🌾 #AgricultureInMotion#TransportingProgress#kilimomax