Ili kufanikiwa ukiwa bado kijana unahitaji kuelewa kiundani vitu vitatuโฆ..
-PESA
-MUDA
-SPEED
nianze na kuzungumzia pesa kidogo, soma kwa makini hii ina nafasi kubwa sana kwenye safari yako ya kutafuta na kumiliki vilivyopo ndani ya hii dunia โถ โถ๐๐