Kunguru huwa na mwenza mmoja tu katika maisha yake. Kama mmoja kati yao atakufa mwingine atabaki mjane mpaka atakapokufa nae hakuna kuchepuka'
#Fahamuzaidi
Huu sio Uungwana jamani mi Yanga kwelikweli lakini hivi vitendo sio sawa tutaniane lakini sio kupigana na kuumizana SAMAHANI/ POLE kwa wale waliofanyiwa hivi.
@ISSAC_ALLAND @noel_isidore Wao ndochanzo cha cha hilo tatizo we unampikia mumeo chakula chenye mafuta mengi unategemea nini unakua namatimizi mpaka mwanaume anakua na msongo wa mawazo unategemea huyo mumeo atakuwa na Uhuru wa kimwili katoka tendo hilo muhimu.