Mwandishi wa Habari wa @bbcswahili Akimzungumza sakata la mwijaku alivyomkejeli Mhadhiri Wa chuo kikuu Cha Dodoma (UDOM), aliyeomba kusaidiwa familia yake.
MANENO MAZITO SANA HAYA Mhhh!!!
"Mimi nitakuwa Mtu wa kwanza kwa nafsi yangu mwenyewe.... nitasema sisiemu ikataliwe kwenye uchaguzi Mkuu"
"Mimi namuomba Mungu nikiwa Mzee nisiwe kama wao"
"Tulifanya Mchezo na Mchakato wa Katiba"
"Katiba inayopendekezwa Haifai"
Maneno yanayoishi kwenye Mitandao ya kijamii milele ata milele mpaka mitandao itakapokufa......
Hawa ndio wananchi ambao wanaaminishwa LISSU NI MUHAINI.
Uelewa wa WATANZANIA wa sasa upo level nyingine kabisa wazee. Hatupo zama za MAWE.
MUNGU FUNDI SANA.