Ee Mungu wangu, uniponye na adui zangu, Uniinue juu yao wanaoshindana nami. Uniponye nao wafanyao maovu, Uniokoe na watu wa damu.🙂🙏🏾 @Liverpool @yangasc
Asante MUNGU hili gumu sana limepita.
Kesho narudi RASMI kuendelea na kazi ya kushughulika NA WAKOLONI WEUSI.
Haya magumu ninayopitia wao ndio chanzo kikuu-siwezi kuwaacha mpaka naenda KABURINI.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Jinsi ya Kuongeza thamani yako mbele ya anayekuchukulia poa:
1) Tafuta Pesa na Kuwa busy.
2) Jipende na kuwa selfish.
3) Kula vizuri, Vaa Vizuri na Nukia vizuri.
4) Jenga mwili kwa mazoezi.
5) Usimshobokee.
6) Ishi maisha yako, usimfatilie.
Ongeza nyingine 👇
In Tanzania{🇹🇿}, there’s an activist who was once shot 20 times in the body🙌🏽.....yet he’s still alive today.
God is in control of everything, and we can’t do anything without Him.
TUNDU LISSU 🐐
Siku ya leo amka na mambo ni matano tu.
1. "Tuliza moyo wako"
2. "kubari mapungufu yako"
3."ongeza kipato chako"
4. "Rahisisha mahitaji yako"
5. "Chunga tamaa mbaya"
Neema inakubeba, kibali kinakutambulisha, na utiifu unaifungua njia ya mafanikio.
Usikimbize mafanikio, jenga uhusiano na Mungu, na njia zako zitanyooka.
Good Morning.
Kuhonga ni dalili ya kwanza ya udhaifu kwa MWANAUME
Kutokuhonga haimaanishi kwamba huna hela.. but unajiamini na thamani yako haipimwi kwa pesa.
Ukiona huwezi kumiliki manzi, mpaka utumie PESA, tambua your self-esteem is very low.
Pesa ni mihumu lakini isiwe sababu ya upendo