@MariaSTsehai Mungu akujalie maisha marefu , afya njema, na mafanikio meeeengi Shangazi, wewe ni touch ya kutumulikia watanzania wengi, tunakuhitaji sana kuelekea kwenye mabadiliko
Leo #MariaSpaces tunauliza: Tunafanikisha vipi 2023 kuwa mwaka wa mabadiliko?
Space hii ni ya kufunga 2022 na kujiandaa kwa 2023 - si ya kukosa! Leta mawazo, mapendekezo - mipango iwekwe vizuri!
Ni leo saa 2 usiku! VPN muhimu! Karibuni tufunge mwaka kwa kishindo! 💪🏽