@MonicaMassanja Sisi hatutaki wanawake wenye hofu ya Bwana...
Tuachieni hawa hawa wa K_Vant ngumu tupambane nao....
Nyie wenye hofu ya Bwana Tunawaachia watumishi.
@HecheJohn@ChademaTz Tatizo chama hakina miiko wala misingi bora ya kusimamia maslahi ya wananchi zaidi ya kujinufaisha.....
Mimi nafikiri tungeimba wimbo mmoja.
#TanzaniaHoyeeee.