Hakuna maisha mbadala wa haya tunayoishi, jipe muda, kuwa na malengo, vumilia, jifunze, kesho yetu ni bora sana๐๐ค #Scrolling since 2013! #Before algorithm!
#Dear Muda
Unajua wewe ni dereva na njia ya ukuaji wangu, umekuwa ni daraja la uelekeo wa maisha yangu, umekuwa ni kigezo na sifa za ukuaji wangu. Muda umekuwa ni falsafa na mkwamo wa kuelekea mafanikio yangu ya kila siku.
Nakushukuru kwa nafasi hii,
@Unjuneering hata CCTV camera hazionyeshi hivo kaka, upate Hikvision ColorVu 8MP am 12MP, unaweza ukashangaa kwa ubora
Hii ni simu ya Infinix hot6 labda, CCTV nmekataa na kama no CCTV basi ni 2 MP imewekwa 10fps na resolution ya 720
miaka ile unaingia humu, unajiona huna akili sababu watu wanapost vitu vizito vya kufikirisha, ukijaribu kupost tweet haziendi kabisa yaani. Simu unatumia blackberry we ni don, sisi tunaenda zetu internet cafe kuchart twitter ama tutumie web.
Maisha yanaenda kasi sana.
#twetter
Nani anakumbuka twitter vile ilikuwa back 2013 huko. Hapa ulikuwa unaandika maneno 140 tu, hakuna thread kama @fbuyobe, hakuna algorithm, yaani hapakuwa na short video kama za Tiktok, wala huwezi kuedit post, yan ukisea ni kufuta ama ukubali typing error zako.
@FunyoJm halafu bado anamind mwamba kuruka chumba cha 2, yaan tuandae tiketi, visa, hotel reservation, akafatwa na gari mpaka airport kisha akapaa, anafika Jobug ghafla Simba wanacheza, hii ni kama kukataliwa na manzi gheto kwako ujue๐
@kikomasta huyu mzee anaumandaa kisaikolojia yule janja mchekeshaji, anametengenezea uwoga ajione ni mweupe sana mbele ya Urusi, hapa akija akisema mpe sehemu ya nchi yako vita iishe sisi hatuna siraha za kukupa, huyo atapoa chapu