Mungu anajibu maombi kwa njia ambazo ni ajaby sana. Nchi ya Haiti wameteseka sana na makundi ya kigaidi, wahuni na wauza madawa ya kulevya. Raisi wa nchi moja inaitwa El-Salvador, ametua jeshi lake bila kibali cha Umoja wa Mataifa wala nchi yoyote. Ameomba ruhusa kwa Trump, Trump akamwambia nenda. Saivi magenge yanapigwa hatari. Nchi haikuwa na Jeshi wala polisi tena.
@Kelvin451145 Considering the playing style of Conte; playing with 3 centre back and wingbacks. I dont think they have enough patience with a coach how his playing style will not solve they problem they are facing at the moment.
Ila katika yote tunayoyatenda tusisahau kusali jamani, maombi ni everything 🙌🏼 nikiwaambia mimi maombi yamenisaidia mangapi mta-staajabu sana. If it wasn’t for prayers nisingekua mzima leo hii, if it wasn’t for prayers hata hii tweet nisingeandika. Msichoke kuomba Mungu anajibu.
Law is about facts, evidence and the proper application of established legal principles, not personal beliefs, assumptions or opinions.
A court that determines cases based on what it believes rather than what has been established through evidence and due process is a misguided court.
Justice must be founded on facts, not beliefs.
Tafsiri ya Kiswahili:
Sheria inahusu ukweli, ushahidi na matumizi sahihi ya misingi ya kisheria, siyo imani binafsi, hisia au dhana za mtu. Mahakama inayoamua mashauri kwa kuongozwa na kile inachokiamini badala ya kile kilichothibitishwa kwa ushahidi na kufuata taratibu za kisheria, ni Mahakama iliyopotea katika misingi ya haki. Haki lazima ijengwe juu ya ukweli, siyo imani.