Nimeenda Msamvu pale, kuingia ni Tsh 300 unapewa tiketi, nimefika pale kwenye kigeti maza anayezikusanya tiketi anataka aipokee ampe mtu mwingine alikuwa kasimama pembeni kule aingie nayo.
No way nimeivuta nikaichana mbele yake. Kaishia kuniangalia na mimi nikasepa zangu πΆββοΈπΆββοΈ