Wakati tuko chuo kikuu Mwalimu kuna wakati aliuliza swali, Read the NCCN guideline of 2024 and that of 2017,then compare betweèn the two? ,,asa lengo lake lilikuwa ni nini labda??
another difference btn men and boys,Men do not even speak about love, they only stream life,boys beg for love,men manipulate it while lifestreaming.😎#slavehunter
Just account it as a move,if you spend >6hours using your PC not for watching movies,playing games or browsing social media, yo're about to fly man,congrats🙌
Kufuatia kupotea kwa chombo cha majini cha ‘Titan’ Kampuni ya OceanGate imethibitisha mapema hii leo kwamba inaamini kuwa abiria wa submarine hiyo iliyozama chini ya maji kwa dhumuni ya abiria watano waliokuwemo kutazama mabaki ya meli ya Titanic, wamepoteza maisha.
Mkuu wa Walinzi wa Pwani kutokea Marekani amesema "Sasa tunaamini Mkurugenzi Mtendaji wa Oceangate, Stockton Rush, Shahzada Dawood akiwa na Mwanae Suleman Dawood, Hamish Harding pamoja na Paul-Henri Nargeolet, wamepotea kwa huzuni”
“Wanaume hawa walikuwa Wagunduzi hodari walioshiriki kufanya zoezi hilo kubwa kwa dhumuni la kulinda bahari za ulimwenguni, mioyo yetu iko pamoja na roho hizi tano na kila Mwanafamilia katika kipindi hiki cha maombolezo, tunahuzunika kuwapoteza Watu hawa pamoja na furaha waliyoleta kwa kila Mtu waliyemjua”
Watu watano waliofariki ni Bilionea Hamish Harding, Tajiri na Mwanateknolojia kutoka Pakistani Shanzada Dawood na Mtoto wake Sulaiman (19), Muogeleaji kutokea nchini Ufaransa na Mtaalamu wa Titanic Paul-Henri Nargeolet, pamoja na Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa OceanGate Stockton Rush.
#MillardAyoUPDATES