@ignyharaz2 Hii ishaihappen nikiwa tipsy hapo beats and bubbles...
Wallet ilipotea nikatoa reward ya 10k nilijiongelesha๐๐hope ilikuwa mtu apate business card anicall
@polo_kimanii@Chickystar_ Huku tushaipotea na bro tukiwa wadogo๐๐karibu tukue kwa news kama lost kids juu wasee wametusurround na kutuhurumia na maswali hapa na pale...wueh ogopa