Inauma ukisomesha Mtoto na hakusaidii, inauma kama Baba umekufa halafu Mtoto anashindwa kukuzika, inauma kugundua raundi ya kwanza imetamatika na Mnyama anaongoza Ligi, inauma kugundua Jean Charles Ahoua anaendelea kutakata na inauma zaidi kugundua ‘Namba sita ya Airport’ ikiendelea kuzikata kamba.
Inauma pale uliyemtuma anarudi anasema nenda Mwenyewe, inauma kusema kuwa Simba amepoteza mechi chache zaidi, amefunga mabao mengi zaidi na ameruhusu mabao machache zaidi, inauma kusema kuwa Simba haipo kwenye mbio zozote za Ubingwa ndio kwanza inajenga timu.
Inauma kusema Msimamo wa Ligi Kuu unauzwa Tajiri, msimamo hauna kipengele chochote labda uje nacho wewe na stori zako za Marefa😀
@maestrogodfrey8 Amna apo ilitumika mbinu ya kijeshi kupandisha iko kijiko yani ivi ngoja nikupe sasa kama ulikuwa haujui Walichukua kijiko wakaweka kwenye Kibakuli alafu waka pandisha bakuli juu waka toa kijiko bakuli wameshusha chini nilaisi sana yani
🔹Leo ni Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kiume.
🔹Changamoto za Mtoto wa Kiume zisipoiibuliwa na kufanyiwa kazi tutaongeza tabaka lingine katika elimu nchini.
🔹Mwaka 2020, watoto wa kiume ngazi ya elimu ya msingi wapatao 113,830 waliacha shule kwa sababu ya UTORO #Hatuwabugui