@SuluhuSamia Heshima kwako mheshimiwa raisi,but napenda mno kujiunga na jeshi Ila nafasi ndo huwa nakosa kila nnapoomba na wakati vigezo vyote ninavyo so sielew tatizo lipo wapo mheshimiwa raisi. Naomba unisaidie ktk hili pindi utapobahatika kuiona comment yangu , Shukran sana ππΎ