@Dr_DGwajima@JoyceHuru Mh waziri uko sahihi jukum la kulinda maadili ni jukumu la familia jamii na taifa kwa ujumla...lakn kwann watu wanareport kwako n kwa sabab sera na sheria za kulinda hay maadili haziko wazi kwa jamii kwahyo jukumu kubwa tunamini linabebwa n serikali (waziri)pia tunangalia mamlaka
@EsirEid Nchi hii nilikuwa naheshimu watu wengi sana tena nikiwa siwafahamu ila kupitia ccm na chadema au uchambuzi wa mpira ila hii vita ya Iran na islael na marekani imenifungua macho na imenipa funzo kuwa nilikuwa naheshimu na kufatilia watu wa wenye uelewa mdogo sana
@EsirEid Mnapost post tu ujinga wakati mko hapa Tanzania sasa sjui wamuamedi wa Tanzania na macca ni wapi wenye uchungu na uislamu??? Kila kitu mnafikiri ni maudini tumieni akili syo matumbo
@k_mjege Je mbali ni wapi ? Je upo ushahidi kuwa wasiofika mbali wamepozwa na uzinzi? Je waliofanikiwa hawajihusishi na uzinzi ?
Ni upi mstari wenye siri na uwazi kuhusu hilo