Ukiwa kazini utahisi kazi yako inakupa pesa kidogo,ukiacha kazi utagundua umekurupuka.
"Ukiwa ndani ya nyumba utaona nje mvua inanyesha kidogo ila ukitoka nje utagundua mvua ni kubwa".
Endelea kuthamini ulipo mpaka utakapopata deal kubwa,huko ground mambo ni magumu.
Mpaka Sasa timu za Africa zimenisurprise kusema kweli japo Senegal aliyempangia ratiba hakumtendea haki ila fresh last game atashinda na atafuzu kama best loser
Ghana ndio kaniziba mdomo kabisa maana hajaruhusu hata goli dadekizake na wapo very compact mpaka wataalamu wa dark art wamelalamika😁
Imagine Egypt anaongoza kundi lake, Morocco ametie na Brazili kundi lake wote wana points 4, i vory cost yupo nafasi ya pili tena kama wangetulia kwenye mechi dhidi ya Germany now wangekua wamefuzu
Cape Verde nilitegemea awe mgawa points ila mpaka sasa hajapoteza mechi yoyote, Congo ndio hao wote tumewaona kua wanaweza kudinda
South Africa na Tunisia ndio timu pekee ambayo ipo na matokeo ambayo nikiyategemea kutoka kwa timu za Africa
Kitu nimejifunza is Exposure ni muhimu sana, wachezaji wakiafrica waendelee kwenda nje kucheza hata kama ni league zinaonekana ndogo wanajifunza vingi nakua matured
Now hatuoni gape kubwa sana kama ikivyokua zamani japo kwenye hatua za mbele najua quality ndio itatuhukumu ila so far so good
Mwambieni Spence anakatwa na majini🚮
#TajiriLaKihaya
Watu ambao hawafuatilii mashindano yote, kama vile AFCON, wasijiite wataalamu wa soka.
Wengi wanaona matokeo ya Jana ya Spain 🇪🇸 kama mshangao, lakini yeyote anayefuatilia AFCON anajua vizuri jinsi Cape Verde ilivyo timu imara.
Hili si jambo la kushangaza hata kidogo.
🚨JUST IN:Khalil Ben Youssef(37) limekuwa jina la kwanza kujadiliwa na Young Africans kuelekea kuziba nafasi ya kocha mkuu iliyo wazi
Khalil kwa sasa anaisimamia Kaizer Chiefs kwa mkataba wa muda mpaka mwisho wa msimu akishirikiana na Cedric Kaze,kocha wa zamani wa Yanga SC
Yanga wao wanachoamini, Viongozi na mashabiki wao ndio wanaweza kupata matokeo uwanjani na sio kocha !!
Imagine kocha kafukuzwa hajafungwa mechi hata moja, kashinda mechi 14 kapata sare mechi 5 kosa lake ni lipi!?
😂😂😂