Madalali huwa ni watu wa kujiposition sana. Akiwa na fursa ya kukudalalia kwa watesi wako anakukaanga, akiona upepo umegeuka anajisogeza kwako. Dalali sio mtu mzuri.
Kwenu Govoo, strategy ya kuzuia watu kwenda mjini will not work. GenZ wametakangaza nonstop Demos. Watu watatoka kwenda kazini kesho au kesho kutwa, and they will be out of control.