๐ฅ Lissu the Greatest of All Time (GOAT)
Yaani hii tabasamu ya ushindi unawachoma wauaji na madhulmat ๐๐ฝ๐
Yaani hawa magereza ka bodigadi wake maana hatembei kama mtuhumiwa bali kama kiongozi au mshindi!
Hatma ya mtu anaisimamia Mungu si mwanadamu!
Huyu ndo kiongozi wa Taifa si walioua kukaa madarakani
#FreeTunduLissu
๐Mwanza
#D9 Hatumtaki Samia โ๐ฝ๐น๐ฟ
Jamani wanajeshi hawana ishu wao wapo tu wapiteni nendeni zenu ๐ช๐ฝ
Kama anakuzuia askari piga picha nitumie tunaandaa ripoti
Freedom of movement is key! There is no curfew just ILLEGAL LOCKDOWN that is not justified
#D9Tunatoka
Mzee Butiku nakuita tena mara tatu!
Unajua mzee wangu kuanza utapeli ule wa mtaani ukiwa mtu mzima ni chukizo kwa Mungu
Nimefanya tafiti ndogo tokea jana nasikia unadanganya LIVE maana unasusiwa kwa hiyo unaanza kusema โnjoo Dodoma hata fulaniโ atakuwepo wakati walishakataa kwenda! Nimeshashtua watu kadhaa hawaamini unaweza kuwa tapeli hivi ๐
Sasa usipoacha usiku nitapost hapa waliokataa huu utapeli wako utaumbuka
Na ninyi mnaotafutwa na huyu Mzee akidai wamekubali wengine hebu pigianeni simu!
Huu mkutano mtakuwa na Kikwete labda na Bakwata! Wengine ni kwa kutapeliwa tu!
MSIGUSE DAMU ya watanganyika โ
Kwa sasa kwa kauli moja tunasema #SamiaMustGo alafu tunataka uwajibikaji!
Pesa za Abduli will not make this go away!
Na #TutaelewanaTu #D9
The U.S. Embassy in Dar es Salaam has issued a fresh security alert, warning of nationwide anti-government demonstrations expected on December 9, with possible unrest as early as December 5.
โผ๏ธTRACKING THE SNIPERSโผ๏ธ
Based on eyewitness accounts the shots appeared to come from Magomeni Usalama bus stop and later at Bondeni Hotel toward Jangwani on October 29 and 30 but it remained a barrier for protestors who were headed to the State House!
This is where the Janjaweed aka chinjachinja militia in vehicles also set up a parameter and shot indicriminately but the sniper(s) killed a lot of innocent people even those who were passerbys and the photos show them with head and chest shots!
The snipers are being identified and the lead is a Zanzibari operative that I named after I confirmed his identity!
If the commission that @SuluhuSamia set up led by former CJ Chande were truly independent they would be reaching out for such information
But itโs ok we will collect evidence for the ICC
Endeleeni kutuma taarifa zaidi kuhusu mauaji haya ikiwemo mliyoyaona na kusikia - sifanyi hii kazi peke yangu ๐ช๐ฝ
#D9 hatutakaa kinyonge
#NoJusticeNoPeace #TanzaniaMassacre
Mkapa alinikamata mara moja. Kikwete alinikamata mara tatu. Magufuli alinikamata mara nane. Hii itakuwa mara ya pili kwa Samia kunikamata. Mara zote hizi sijawahi kutiwa hatiani & mahakama yoyote. Sijawahi kutenda kosa la jinai. Mimi ni mpigania Uhuru & Haki. Huo sio uhalifu!