#kingsofbongo tunawatakia sikukuu njema ya wapendanao.
Hakikisha una fwatilia Tamthiliya na Filamu mpya #2023 za Kibongo kupitia YouTube channel yetu ya #kingsofbongo
#kingsofbongo Rasmi tunawaletea mashindano ya kumsaka mwigizaji bora kutoka kiwanda cha bongo movie. Shindano hili sio la kuchagua mrembo mwenye muonekano mzurii au mwenye shepu ya kuvutia cha muhimu kuzingatia ni ufanisi katika kazi zao za sanaa.