@EsirEid ukiacha hili, wengi wa hawa wenzetu nimegundua ni watu ambao ni ideologically bankrupt persons, these fellows wamekuwa opportunists na watu ambao wanashiba kwa propaganda za Mmarekani na Washirika wake. Inakatisha tamaa.
@mangekimambi kuna haja ya kujiendeleza zaidi kwenye masuala ya ideology na geopolitics. vita vilivyoanza si dhidi ya udikteta au demokrasia, ni ideological na geo-political contest.
@Makaveli_255 Tupunguze shobo. Mimi natafuta mwezi wa pili sasa bila kusikiliza bongo fleva yoyote ile. ๐ช. Hizo bongo movie na page zao, mara ya mwisho kuangalia ni alipokufa Kanumba.
The Commonwealth Ministerial Action Group met to review critical developments in Tanzania.
Read the statement ๐ https://t.co/IG114lgg9B
Ministers expressed concern over reports of breaches of core Commonwealth values, including human rights, freedom of expression, democracy, the rule of law, and good governance.