@sabtosabato Umevaa izo glasses bila kuvuta bangi bro na sasa ungekua unatumia??...atleast jifanye unavuta ndo watu wakumakie excuse ya mbona unkaa fala๐
Nakaa ivi nakumbuka tym ya uhuru kukiwa na fuel shortage kama hii yenye ina loom...nlikua na stocko ya karibu 300litres kazi ilikua kupima kwa 1ltr bottles nkiuzia watu wa nduthi 200 a litre mafuta nlinunua 160...alafu watu wa gari bei ilikua 250๐๐ ...good times