Kinyashi Tv is a Record Television that broadcasts various events of Religious Youth Services. We are available on You Tube, enter You Tube type Kinyashi Tv.
Hatimaye ndege iliyokuwa imembeba Dr Chilima yaani Makamu wa Raisi Malawi na watu 9 waliokuwa ndani ya ndege hiyo wamefariki. Dr. Chilima alikuwa na ushawishi mkubwa hasa kwa vijana tena waliopenda mno. Pia alikuwa anatazamiwa kuwa Uraisi siku zijazo.
Ndege iliyombeba Makamu wa Raisi Malawi yaani Saulos Chimila pamoja na maafisa wengine 9 wa Serikali imepotea na ijulikani ilipo. Raisi wa Malawi ameagiza Majeshi na vyombo vya Ulinzi wa Taifa hilo vifanye jitihada ya kuisaka ndege hiyo upesi.
Narendra Modi ameapishwa kuwa Waziri mkuu wa India awamu ya 3. Modi mwenye umri miaka 73, amekuwa mtu wa 2 kushinda awamu 3 mfululizo tangu enzi za Jawaharial Nehru, waziri mkuu wa kwanza wa India. Ameapishwa kwa Ulinzi mkali wa askari 2500 na ndege hazikuruhusiwa kupaa eneohilo
2 Mambo ya Nyakati 7:14-16
ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya; basi nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao.
โฅ๏ธ
#nukuu
2 Chronicles 7:14-16
If my people, which are called by my name, shall humble themselves, and pray, and seek my face, and turn from their wicked ways; then will I hear from heaven, and will forgive their sin, and will heal their land..
โฅ๏ธ
#verseoftheday
Tunapomwamini Mungu kwa kuacha kazi yetu, kile tunachokitoa kupitia Sabato hatimaye kinawanufaisha wale walio karibu nasi.
---- Shelly Miller
#Sabatonjema