“Kifo ni kifo”
These words will continue to haunt Samia Suluhu
This was her reaction to the brutal abduction and murder of Ali Kibao
She dismissed the death and chided international concern by saying it is just another death
Polisi tuliwaambia, mtaangushiwa jumba bovu kesi ikianza kusikilizwa ICC, washaanza kuropoka mapema kuwa sio wao waliochukua ilaha na kuingia nazo mtaani kuua, ingawa wao ndio waliotoa amri
DOCUMENTARY YA KIFO CHA ALI MOHAMED KIBAO — MTAALAMU WA HAMASA CHADEMA TAIFA
Leo, Septemba 6, 2026, imetimia miaka miwili tangu kifo chake, lakini hadi sasa majibu ya uchunguzi kuhusu tukio hilo bado hayajawekwa wazi.
Pumzika Ali Kibao, tutakukumbuka daima.
DOCUMENTARY YA KIFO CHA ALI MOHAMED KIBAO — MTAALAMU WA HAMASA CHADEMA TAIFA
Leo, Septemba 6, 2026, imetimia miaka miwili tangu kifo chake, lakini hadi sasa majibu ya uchunguzi kuhusu tukio hilo bado hayajawekwa wazi.
Pumzika kwa Amani Ali Kibao, tutakukumbuka daima.🙏💔
🇳🇪 NIGER | Le Capitaine Roger Gabriel promu Général après un acte héroïque
Le Capitaine Roger Gabriel aurait été directement élevé au grade de Général, après s’être illustré en portant secours au Général Abdourahamane Tchiani.
Un geste présenté comme déterminant et héroïque, qui lui aurait valu cette promotion exceptionnelle au sein des forces armées nigériennes. 🇳🇪🪖
Going off topic today, naposti coz huyu mtoto toka siku kazaliwa mpaka about 2 years ago maisha yake yalikuwa shared na Watanzania almost on a daily basis. Ukuaji wake wote ulikuwa kwenye social media.
Naomba kuwataarifu kuwa mtoto wenu leo kaingiza miaka 16.Hata nivae heels bado he simpati urefu.
Huyu mtoto anabeba mzigo mkubwa wa kuni comfort. Yani sometimes mpaka najisikia vibaya nambebesha mambo mazito.
Sometimes huwa anasema mama maandamano yajayo mi naenda Tanzania kuandamana wala hawatojua nimeingia, wakiniua basi mama. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Happy birthday my second born…. My shoulder to cry on 😭😭😭😭😭
PS: Kidogo tukatazwe kuingia sababu watoto walikuja na sandals, sikuona walivyovyaa chini mpaka tumefika hapo. Nikawaonyesha post ya @nypost ndo tukaachiwa.
Sijui kama Serikali inaona hatari hii. Mimi naiona. Tunapofanya “easy jobs” kama boda boda kuwa suluhisho kuu la ajira, tunaanza kupoteza skills muhimu zinazojenga taifa na uchumi.
Binafsi nina experience uhaba wa mafundi wazuri wa magari, plumbers, electricians, welders na mafundi ujenzi sana siku hizi. Tukiacha trend hii iendelee, kesho tunaweza kulazimika kuagiza mafundi kutoka nchi jirani kufanya kazi ambazo vijana wetu walipaswa kuwa wamefundishwa.
Wakati huo huo, boda boda zina gharama kubwa kwa taifa kupitia ajali, ulemavu, vifo na kupoteza nguvu kazi.
Tatizo si kijana kuendesha boda boda. Tatizo ni pale “easy option & cheap option” inapogeuzwa kuwa mfumo wa maisha, huku technical skills zikiachwa nyuma.
Serikali ibadili mwelekeo sasa, iwekeze kwa nguvu kwenye vocational training, apprenticeships na technical skills zenye tija na kipato.
Tusije tukawa na vijana wengi wanaotafuta ku-survive leo, lakini kesho tukakosa watu wa kujenga, kutengeneza na kuendesha uchumi wa nchi.
Vance: "The leaders of Iran are truly, truly insane. They are willing to do anything, and I don't think this stems from any great strategic wisdom, but rather from a desire to minimize the flow of oil and gas."