@bbcswahili@bbcswahili acheni ujinga mmeshazoea kupost vitu vinavyoichafua Tanzania/africa kwa ujumla, kwanini useme mafuta ya bodaboda na sio Petrol? Endeleeni kumuomba radhi Trump iacheni Tanzania na mambo yake
@TTCLCorporation@TTCLCorporation ni wa ovyo tu, tumeshatuma maombi zaidi ya x3 online na simu zikapigwa kuwakumbusha kwa zaidi ya miezi 4 sasa hamjaweza kuunganisha internet kwangu! Kwann mlileta huduma ambayo hamuwezi kuwapatia wananchi? Sikushauri kujiunga nao utapoteza muda wako
@TTCLCorporation TTCL mmekuwa wa OVYO sana, applications za kuuanganishiwa Internet katika nyumba zinakaa sana na hakuna response yoyote, tunawaona mnakatiza na magaribyenu mitaani lakini no Services. Kama mmeshindwa kazi mnasema tu
Kamati ya kufuatilia miandamo ya mwezi ya BARAZA KUU LA JUMUIYA ZA ANSAAR SUNNAH TANZANIA (BASUTA), imewatangazia Waislamu wanaofunga na kufungua saumu kwa kufuata mwandamo wa mwezi unaoonekana na kuthibiti Kishari'ah popote pale duniani ya kwamba leo siku ya Jumatatu tarehe 08 Aprili 2024 ilikuwa mwezi 29 Ramadhan, 1445 Hijriyyah.
Taarifa ya BASUTA ya jioni hii imeeleza kuwa kamati hiyo haijapokea taarifa ya kuthibiti kuandama mwezi wa Shawwal si kutoka ndani ya Tanzania wala kutoka nchi nyingine yoyote ile duniani hivyo tunakamilisha Siku 30 Ramadhan kesho Jumanne tarehe 9 Aprili, 2024.
βKamati imepokea taarifa za kutokuandama mwezi kutoka mamlaka mbali mbali za kutangaza mwezi katika nchi za Saudia, Qatar, U.A.E, Misri, Baharain, Kuweit, Yemen, Lebanon, Palestina, Iraq, Syriaβ imesema taarifa hiyo
βKwa taarifa hizi, siku ya Jumatano tarehe 10 Aprili 2024 itakuwa ndiyo mwezi Mosi Mfungo wa Mosi (Shawwal) 1445 Hijriyyah Sikukuu ya Idul Fitr.β
Kamati imefikia maamuzi haya kutokana hadithi iliyopokewa na Imam Bukhari na Muslim (Allah awarehemu) kutoka kwa Swahaba Abu Hureira (Allah amridhie) akieleza kuwa Mtume wa Allah (Allah amshushie rehma na amani) anasema:
"Fungeni kwa kuonekanwa kwake (mwezi) na fungueni kwa kuonekanwa kwake (mwezi). Na iwapo mtagubikwa (msiuone mwezi), basi kamilisheni hesabu ya mwezi siku thelathini".
βKwa mnasaba huu, uongozi wote wa BASUTA unawatakia Waislamu wote kheri ya Siku Kuu ya Idul Fitr mwaka 1445 Hijriyyah pamoja na kuwahimiza kutimiza kutoa Zakatul Fitr kabla ya kuswali swala ya Idd na pia kusherehekea Sikukuu ndani ya mipaka ya Kishari'ah kwa kujiepusha na yale yote yenye kumuudhi Allah (Subhaahuu Wa Taala).β
βTaarifa hii imethibitishwa na masheikh wajumbe wa Kamati ya BASUTA ya kufuatilia Mwandamo wa mwezi na iwapo tutapokea taarifa tofauti na hizi tulizozipokea wakati huu kuhusu kuandama mwezi, Kamati haitasita kuwajulisheni.β
#KitengeUpdates
@nssftz Msaada tafadhari
Kuna mtu alikuwa mwajiriwa wa Private sector(s) na alikuwa mwanachama wa NSSF na alichangia kwa kipindi chake chote na sasa ameajiriwa serikalini. Sasa alijaribu kwenda NSSF kuulizia kama anaweza kupata mafao yake(kile alichochangia)