@MunyNassor@IAMartin_ Sijui lakini huyu mzee sio drama. Amekua na consistency kwenye misimamo yake kipindi chote nilichomfahamu. Na nafikiri anaumia sana anapoona misingi ya chama chake ikibagazwa.
@MarekaMalili Mkuu ulianza kuponq peke yako.
Life is a one time offer. Mtu yoyote anaefanya utani na maisha ya mtu huyo ni wakuogopwa sana.
Hatujawahi kupona.
@thedoctor2045@Rydx_017 Angekua anayajua kuna siku tungemsikia akisema tunafanya hivi ili iwe vile kwenye uchumi wetu. Magraph ya who are you hayo anaweza kua anayajua.
@godbless_lema Sidhani, muheshimiwa wewe nafikiri una exposure kuliko mm. Ukienda tu hapo nchi jirani ya Rwanda bodaboda ni usafiri unaoheshimika. So nafikiri ni system zetu zinapaswa kuboreshwa.
@barakawamb@MzeeEs66280 Nielimishe mm kwa mifano. Ni nani kwenye report iliyopita alitajwa na kwa kupitia huo utaratibu wa vyombo ameshachukuliwa hatua mpakq sasa?
@SportsarenatzTz Mmewaza baada ya mashindano huo uwanja utaongeza thamani gani kwa nchi. Yale yale ya kujenga uwanja wa ndege Chato then usifanye kazi. Why huo uwanja usijegwe hata Mbeya, baada ya Afcon ukaendelea kutumika kwenye match za league ukizingatia kama nchi tunauhaba wa viwanja.
@MarekaMalili Watatoka wapi wengi wao wamekaa kimaslahi. The like of Pinda, Sumaye, Butiku
Wao wanaona for as long as maslahi yao yapo sawa. They don't care.
Pia kuna haja vyuo na watu mashuhuri wakaanzisha midahalo. Itasaidia sana.
@denhope26@HecheJohn Yafunguliwe. Nchi haiendeshwi kwa huruma za mtu. Nchi inapaswa kuendeshwa ka sheria, kanuni na taratibu. Kama ni muhaini mpelekeni mahakamani ashitakiwe na apate haki yake sawa na sheria. Why mtumie huruma ya mtu?
@fintanjr_ Unafikiri nini kifanyike kama watu ndani humu wanajaribu kutafuta suluhu ila watawala bado wamekaza shingo. Kwa tulipo fika wacha chochote kitokee kitasidia kutuonyesha kua tunapocheza na uhuru wa watu matokeo yake huwa ni makubwa.