Kwa mara nyingine Mungu umenipa zawadi ya kipekee siku ya Leo nakushukuru sana kwa upendo wako kwangu sistahili sana kuliko wengine ambao hawakubarikiwa zawadi kama hii lakini umenipendelea hakika wewe ni wa milele.
Kitendo walichofanya ndugu zetu CHADEMA chini ya mwenyekiti wao Wa kudumu ndugu mbowe kufukuza waandishi Wa television ya taifa TBC Ni cha udhalilishaji sanaa kwa chombo hiki na watanzania, tunaomba jeshi la polisi lichukue hatua dhidi ya wana siasa Wa aina hii.
Kamati ya siasa ya halmashauri kuu ya CCM Mkoa Wa Iringa chini ya mwenyekiti Ndg Dkt ABEL NYAMAHANGA kesho tar 7 July 2020 saa tatu kamili asubuhi tutakuwa na mkutano na waandishi Wa habari katika ukumbi Wa CCM Mkoa, lengo Ni kueleza baadhi ya mambo na mienendo ya watia nia.
Kitendo cha mbunge Wa Iringa mjini kutangaza nia ya kugombea urais 2020 kupitia CDM TZ Ni dhahiri anaonesha Ni kiasi gan ameshindwa kutumikia Wananchi Wa Iringa, Hivyo basi anatafuta sababu ya kushindwa ili aonekane alishindwa urais na sio ubunge.
Chama cha mapinduzi kimeendelea kupata heshima kama chama cha Ukombozi Wa bara la Afrika baada ya Vyama vya upinzani kuonekana havina uwezo Wa kudumu muda mrefu kutokana na kile kinachoitwa Ulevi Wa Madaraka na ubinafsi. @CDM kimenuka
@AllyHapi Tatzo nao wanakosea mno kuchagua vyama eti kisa tu kinaitwa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO wakadhani kweli kuna DEMOKRASIA sasa wanachokutana nacho SIRI yao, labda tuwaombee kwa Mungu awafunulie uwezo Wa kutambua vyama vyenye DEMOKRASIA na baadae warudi nyumban kwa baba
@esteramosbulaya Yaan ww ulichoona kwenye report ya CAG Ni hicho tuu? Je ardhi kama Ni yako ikiwa haijapimwa na kukatiwa hati miliki inakuwa si yako? Na kwa level uliyofikia umewaza kwa uvivu Sana improve.
Ni miaka 48 sasa tangu tulipoondokewa na Hayati Abeid Amani karume, Rais Wa kwanza Wa serikali ya mapinduzi ya zanzibar na mwenyekiti Wa baraza la mapinduzi, Daima tutakukumbuka Mzee wetu kwa Uzalendo wako na tutakuenzi daima,.
@fatma_karume Acheni watu wawe huru na mitandao ya kijamii nyie mnapost habari zenu nani anawapangia? Na nani kakwambia Mo ni shabiki Wa hicho chama chenu? Kiufupi Acheni kupangia watu maisha hasa hayo ya ushabiki kila mtu ajikune anapowashwa.