Just secured a small tender ya kufit vioo kwa hii keja huku ocha, I must deliver proper job and thats for sure. I'll update you guys tomorrow when the job is done. Inshallah.
Kitu iliharibu ni huyu mdem alifanyiwa fund raising ndo ajoin campus so familia ilikua sure atakuja kuwatoa block lakini wapi sae akona ball plus ameolewa shule imekatika.
Ndo mjue huyo cousin yangu ni mikora, ilikua akuje long holiday akambia mamake ati alifungua biz ya kuuza viatu na hajamaliza stock so atakaa like 1week ndo akuje home,1 week ikaisha hakuonekana,second week again hakuonekana. Korom nia.
Mwenye anakapitia ni mamake juu yeye ndo alishughulika na almost every thing ndo huyu mdem aingie campus, even went ahead been employed(contract job)so that she can get something ndo akue akitumia mtoto wake.
ya wenyewe so mzazi kupigiwa simu anasema mtoto wake ako shule may be ni mistaken identity. After aliconfirm ni yeye sasa ndo akakubali mtoto wake aliolewa akidhani bado ako shule.
Lakini huyu mdem alikua anependa ngono angetoboa kumaliza hizo miaka nne campus.
Kukua na mtoto msichana ni stress tupu. Cousin yangu alijoin University last year ata haja maliza first year ashaa pewa mimba, funny thing ni huku home tulidhani ako shule kumbe aliolewa kitambo sana. Ripoti zilifikia mzazi toka kwa some woman ati aliona mtoto wake kwa boma ... .