Bro, if we used our mothers as the standard for how women should treat us, we’d have some wildly unrealistic expectations too coz our mothers loved and treated us like kings but that doesn’t mean our partners are supposed to replicate that dynamic.
Mungu nifundishe kusubiri bila kulalamika na kuamini bila kuona.
Niondolee husda,kulinganisha na hofu ya kuchelewa.
Nipe bidii ya kujenga maisha yangu,na subira ya kusubiri wakati wako,Nisaidie kushangilia mafanikio ya wengine bila kusahau nawe una mpango kwa ajili yangu.
Amina.
Brotherhood imetuokoa watu wengi sana.
Sometimes unahitaji maneno mawili matatu kutoka kwa mtu ambaye hakuhumu, anaelewa maisha kwa mtoto wa kiume kuna muda yanavuruga sana.
Being a good guy haina faida zozote kwenye dunia ya sasa zaidi ya sifa tu, linda ulichonacho kwa wivu mkubwa kwasababu kikipotea wale uliokua ukiwasaidia hawawezi kukusaidia hata mganga mzuri wataishia kusikitika tu.