Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Peter P. Ngussa na wataalamu wa Halmashauri ya Kisarawe tarehe 27 Februari, 2023 wamefanya ukaguzi wa Jengo la Wagonjwa wa Dharura (EMD) katika Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe ambapo Ujenzi uko hatua za mwisho za Ukamilishaji.
Mkuu wa wilaya ya kisarawe mhe Fatma Almas Nyangasa akabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa mkuu wa wilaya mhe Nickson John,makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi ya mkuu wa wilaya kisarawe tarehe 31/1/2023.
Maendeleo hatuna budi kumpongeza na kumuombea Dua pamoja na viongozi wakuu wote katika Kuijenga Tanzania alisisitiza Mhe Dr Jafo"
Ukaguzi huu wa miradi ya Maendeleo kisarawe husaidia kuona Jamii ni jinsi gani Serikali ya Dr Rais Samia anavyowajali wananchi wa Kisarawe kwa vitendo
NIMERIDHISHWA NA MIRADI YA MAENDELEO YA AFYA,ELIMU YA DR SAMIA
DR JAFO AZIPA JUKUMU KAMATI ZA UJENZI KUMALIZIA MIRADI HARAKA
NA
MWANDISHI WETU
Katika kufikia lengo la maisha Bora Kwa kila mtanzania anapata huduma ya lazima Kama afya , Elimu na Ustawi wa Jamii katika Halmashauri
Maneromango,na Marumbo,
"Binafsi Maendeleo ya Jamii yangu yananipa Faraja Sana Nikilinganisha na Tulivyokua hapo awali"
"Maendeleo haya yote Ni jitihada za Pekee za Raisi kwa watu wangu wa kisarawe katika kuwaletea