@JayleenRickie Aaaah mwambaa daaah! Cjui nikutukane tusi gan ila jayleen ww unazngua bhn watu wa namn hii hatutak kuonaa kbs pumbavuuu mkubwa mwanaume gan ww
@SuluhuSamia Mama shikamoo, habari za huko ulipo na familia kiujumla. Mama endapo utauona huu ujumbe basi uzingatie kuna ishu ya mjomba wangu ana kiasi chake kikubwa sana cha fedha pale BOT imekuwa ngumu sana kuweza kukitoa kwahiyo kwa upendo wako na huruma yako naomba utusaidie. Kazi njema
@SalamerJr@Adventure_36 Ndugu yang huyo abiria alofariki alkuw ni mwanafunzi mama yake na mama yangu wote ni walimu wa shule ya msingi ss niwadanganyee kwa kipi hapo dug zanguni mmbn dhambi nyngne ni reckless cwez jitakia kias hko
@Sirjeff_D Ndyo hufikia huko kwa sabab mbalimbal kuu ikiwa ni uwezo wa ada ktk chuo husika kuna watu wakubwa ktk sekta muhimu sana wamepitia humohumo mjomba wangu kapitia CBE kapiga METROLOGY ss hv ndyo executive commisioner wa kituo cha WEIGHTS AND MEASURES PWANI so know ur limit, respect.
@Sirjeff_D Mr. Umefanikiw kuandika nakala ambay imeweza kuinua hisia tofaut kwa watu lkn uhalisia n kwamba umefeli pakubwa sana, ufaham tu kwamba kuwa na jina kubwa,maarufu,ushawishi mkubwa ama hela nying haileti sababu ya kwamb utaweza kuongea tu jambo lolote like hata la kipuuzi kuwa sawa
@Sirjeff_D Wengi humu tumesoma lkn tunafaham kuwa hakuna chuo kikosacho mapungufu kwa Tanzania hii ujumbe wako ulipaswa kufikishwa kwa namna nyingine kbs ambayo haikupaswa kuzua mjadala wa kijinga kama ulouleta jifunze kuheshimu taasisi za watu hao wanafunzi wanaotoka huko A level