@masoudkipanya Sura - Trampo
Jezi ya marekani - uongozi wa juu wa Dunia
Mpira- misaada
Maana yake ni kwamba, usipo Fanya mambo ambayo yata wafurahisha wamarekani, basi mpira wao hutoucheza.
Kitu kibaya zaidi unachoweza kufanya kwenye ajira ni kuwa mfanyakazi bora na mchapa kazi sana.
Unajua kwanini?
Zawadi ya mchapa kazi huwa sio kupandishwa cheo au mshahara, zawadi yake huwa ni kuongezewa kazi za wale wavivu.
Mind your own business mzee!
Kivitendo, maisha yapo kama yalivyo kwa sababu dunia ina rasilimali chache, watu wana matamanio tofauti, na kila kizazi hurithi matokeo ya maamuzi ya waliotangulia. Ndiyo maana kuna tajiri na maskini, amani na vita, afya na maradhi ๐ค .
Kuna watu hawaumizwi na hatua unazopiga,wanaumizwa na ukweli kwamba hupigi kelele ukipiga hizo hatua.Ukimwya wako ndio unawanyima usingizi.
Good Morning hustlers ๐ช๐ค
Kitu cha uhakika kwa wote ni kuwa kila mtu ni lazima awe na adui,haijalishi wewe ni mwema kiasi gani au ni mpole kiasi gani? Mungu mwenyewe ana maadui,sembuse sisi binadamu.
Muhim ni kuendelea kuishi maisha yako ila kwa umakini sana.
Good morning fam.