Klugger pamba kabisaa, ipo sokoni, imetunzwa vizuri, haina tatizo lolote.
Milioni 15, mazungumzo kidogo yapo, haina dalali unazungumza na mwenye Mali.
Chombo kipo Dar es Salaam
Mawasiliano :0717199561
Eeeh Mungu baba msikie binti, dada mama huyu amekuwa akikulilia akihitaji mume, mpe hitaji lake katika mwaka huu ujao 2020, huyu dada amehangaika anahitaji mtoto mguse akapate mtoto wake wa kwanza, Eehh... https://t.co/uyoFjOpBsJ
"Nchi haziongozwi kutokana na akili za mtu tu, hapana ila nchi zinaongozwa kwa sheria " Nyerere #NyerereDay
Kama na wewe unakubaliana na mawazo haya ya Mwalimu Nyerere basi share video hii kwa marafiki zako. https://t.co/jVRO4WrdeW
Karibu ujipatie Necklace, Bracelet, Ring, Hair Clip, Bronch Pins kwa bei poa kabisa.
Watu wa Dar es Salaam tunakuletea ulipo, kwa watu wa mikoani tunakutumia kwa uaminifu mkubwa. Kwa kuona vitu vikali... https://t.co/uJf3LMVFeM
MAJINA YA KIKE NA SIFA ZAO NILISHATOA SO SITARAJII KUULIZWA TENA.
1. John-Ni mpenda sifa na Muongo, Kamwe hawezi kukuruhusu ukashika simu yake
2. Brayton-Anapenda kulalamika muda wote, anaringa, anapenda... https://t.co/MDGkFV3atK
Kwa mahitaji ya kushonewa nguo nzuri za harusi, kitchen party, sendoff, engagement, hata wedding guest waone happiness point of fashion tunapatikana Kinyerezi mwisho tukupatie muonekano amazing!!#0764077564#... #ValishwaNaHappinesPointOfView Happyness Nusurupia
UJUMBE MH GODBLESS LEMA KWA SUGU, UJUMBE HUU UMFIKIE KILA MTU AMBAE AMEOA AU KUOLEWA, AMBAE ANATARAJIA KUOA AU KUOLEWA KWA WALE WASIO NA LENGO LA KUOA AU KUOLEWA WATUACHE KWANZA.
Kamanda Sugu umefunga ndoa... https://t.co/nAcxAchfh1